Wimbi La Siasa

Kauli ya rais Kagame kuhusu haja ya kuimarishwa kwa usalama wa kikanda

Informações:

Sinopsis

Wakati wa kuapishwa kwake, Rais wa Rwanda Paul Kagame alikiri kuwepo kwa haja ya kuimarishwa zaidi kwa usalama katika nchi za Ukanda haswa katika eneo la mashariki ya DRC. Ruben Lukumbuka amezungumza na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuhusu kauli hii.