Habari Za Un
27 MACHI 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:11:37
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Karibu kusikiliza jarida la Umoja wa Mataifa ambapo hii leo tunaendelea na kuwasikia wadau waliohudhuria mkutano uliomalizika wiki iliyopita wa Kamisheni ya hali ya wanawake CSW69 unaotathmini Azimio la Beijing na Mpango wa Utekelezaji vilivyopitishwa mwaka 1995 katika mkutano wa 4 wa kimataifa wa wanawake huko Beijing China. Pia utapata fursa ya kusikiliza muhtasari wa habari na kujifunza kiswahili ambapo leo utapata ufafanuzi wa methali "NDOTO NJEMA HAIHADITHIWI"