Habari Rfi-ki

Dunia uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari

Informações:

Sinopsis

Leo mada yetu inajikita kwa siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, ambapo  Umoja wa Mataifa umesema licha ya baadhi ya nchi kupiga hatua katika ulinzi wa wanahabari, hofu ya uhuru wa habari kuendelea kuminywa inaendelea kutanda. Mwaka jana jumla ya wanahabari 82 walipoteza maisha wakitekeleza majukumu yao. Tuambie nchini mwako vyombo vya habari viko huru? Haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala.