Jua Haki Zako
Afrika Mashariki : Sikuku ya leba ina maana gani kwa wafanyakazi
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:48
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Wafanyakazi ndio wanainua majengo, kufundisha watoto, kuwahudumia wagonjwa, kuendesha uchumi wa Afrika Mashariki. Lakini je, haki za wafanyakazi kazini zinalindwa ? kila mwaka Mei mosi dunia huadimisha siku ya kimataifa ya wafanyakazi — na kwenye makala haya, tunaangazia kilio na matumaini ya wafanyakazi wa Afrika Mashariki wanaopigania haki zao za msingi kazini.Muungano wa kimataifa wa wafanyakazi — ILO — linatambua haki kadhaa muhimu kwa kila mfanyakazi moja ni :Haki ya kupata mshahara wa heshimaHaki ya kufanya kazi kwa saa zinazokubalikaHaki ya kujiunga na vyamaHaki ya usalama kaziniHaki ya kutobaguliwaSkiza makala haya kufahamu mengi zaidi.