Habari Rfi-ki

Nini kifanyike kumaliza vita vinavyoendelea Sudan,Ukraine na Gaza

Informações:

Sinopsis

Viongozi wa dunia, wameendelea kutoa wito wa amani kwenye nchi  za Sudan Ukraine na Gaza hizo, ambako vita vimesababisha vifo vya maelfu ya raia na wengine kuwa wakimbizi. Hata hivyo licha ya wito huu, mapigano yameendelea kuripotiwa.