Habari Rfi-ki

Africa: Ina lolote cha kujivunia

Informações:

Sinopsis

Umoja wa Afrika imesherekea siku ya kiafrika, kuadimisha kuundwa kwa Umoja wa Afrika, kipindi hiki nchi ya Uganda nayo ikisitisha ushirikiano wake wa kijeshi na taifa la Ujerumani. Kuna chochote bara la Afrika linaweza kujivunia?Ndilo swali tumekuuliza, skiza makala haya kuskia maoni ya waskilizaji.