Habari Rfi-ki

Uganda yapitisha mswada kuruhusu raia kushtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi

Informações:

Sinopsis

Wabunge wa upinzani hata hivyo walisusia kikao kilichopitisha mswada huo kwa haraka. Wanasiasa wa upinzani wanadai  mswada huo  unawalenga wakosoaji wa rais Yoweri Museveni