Habari Za Un

Guterres: Tuepushe kauli za chuki kwenye ujumbe chanya

Informações:

Sinopsis

Leo Juni 18 ni siku ya kimataifa ya kupambana na kauli za chuki ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametumia ujumbe wake kwa siku hii kutoa onyo kuhusu hatari zinazoongezeka za chuki mtandaoni, hasa zikichochewa na akili mnemba au (AI) na  na majukwaa ya kidijitali. Flora Nducha na taarifa zaidi.