Habari Za Un
Umoja wa Mataifa umefanya vema kuangazia saratani ya ngozi kwa wenye ualbino - Khadija Shaaban Taya (Keisha)
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:03:26
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Leo Ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Kuelimisha umma kuhusu Ualbino, Anold Kayanda wa idhaa hii anazungumza na Khadija Shaaban Taya almaarufu Keisha, Mbunge katika Bunge la Tanzania alipohudhuria mkutano wa mkataba wa watu wenye ulemavu uliofanyika wiki hii hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani. Keisha anaanza kwa kueleza anavyoithamini siku ya leo.