Jua Haki Zako

DRC : Haki ya wanawake Mashariki mwa DRC

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya  tunajikita kuangazia hali ya haki ya wanawake Mashariki mwa DRC baada waasi wa M23 kufaulu kudhibiti miji ya Goma na Bukavu. Tunazungumza na wakili Maggie Mkulima Shukru kutoka jijini Bukavu kutueleza hali ilivyo mashariki mwa DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.