Jua Haki Zako
Haki ya maakazi bora kwa jamii zetu
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:10:00
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika makala haya tunajadili haki ya raia kuwa maakazi bora ambapo maelfu ya wazee, walemavu, na wajane nchini Kenya wamekuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa za makazi duni, hasa katika maeneo kame na mitaa duni. Hali hii imewalazimu wengi kuishi katika mazingira yasiyofaa, huku baadhi yao wakikosa makazi kabisa. Hata hivyo, kwa ushirikiano wa wahisani, mashirika ya kijamii, na serikali za kaunti, mpango wa kuwajengea makazi bora umeanzishwa katika kaunti mbalimbali, ukiwapa matumaini wapate hifadhi salama na yenye hadhi.Katika kijiji cha Naibor, Kaunti ya Laikipia, baadhi ya wazee tayari wameanza kunufaika na mpango huu. Skiza maka haya kufahamu mengi