Habari Za Un

Mradi wa IFAD na ILO wadhihirisha nguvu ya vijana kwenye kilimo vijijini

Informações:

Sinopsis

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la ajira, ILO na mfuko wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD yanatekeleza mradi wa ProAgro YOUTH  unaolenga kuongeza ajira kwa vijana katika sekta ya biashara ya kilimo vijijini.