Habari Za Un

Mazungumzo kuhusu mustakabali wa plastiki yaahirishwa bila muafaka

Informações:

Sinopsis

Siku 10 za mkutano wa Kamati ya Kimataifa ya Majadiliano (INC) ya kuandaa Mkataba wa Kimataifa wenye nguvu kisheria kuhusu uchafuzi wa plastiki, ikiwemo katika mazingira ya bahari, zimemalizika huko Geneva, USwisi bila muafaka kwenye nyaraka tarajiwa, ambapo mkutano umeahirishwa hadi tarehe itakayotangazwa baadaye. Sabrina Said ana taarifa zaidi.