Habari Za Un

Hali ya Gaza ni janga la maadili linalotikisa dhamira ya ulimwengu - Guterres

Informações:

Sinopsis

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kuwa mateso yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, ni zaidi ya janga la kibinadamu – ni janga la maadili linalopasua dhamira ya jumuiya ya kimataifa. Leah Mushi na maelezo zaidi.