Habari Za Un
WFP Nigeria kusitisha msaada wa chakula kutokana na ukata na ukosefu wa usalama
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:47
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini Nigeria limesema litalazimika kusitisha msaada wake wa dharura wa chakula na lishe kwa watu milioni 1.3 kaskazini-mashariki mwa nchini hiyo ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na ukata. Anold Kayanda na maelezo zaidi.