Habari Za Un
Uwezeshwaji wa vijana mkoani Mwanza Tanzania
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:03:18
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika makala tunakupeleka mkoani Mwanza, kaskazini-magharibi mwa Tanzania ambako kuelekea siku ya kimataifa ya vijana na stadi hapo kesho Julai 15, Sabrina Said anazungumza na mmoja wa vijana anayetumia majukwaa ya kidijitali kutoa elimu ya uelimishaji rika.