Sbs Swahili - Sbs Swahili

Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia

Informações:

Sinopsis

Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.