Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Uchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025
28/03/2025 Duración: 06minTarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?
-
Taarifa ya Habari 28 Machi 2025
28/03/2025 Duración: 18minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.
-
Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC
28/03/2025 Duración: 06minViongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.
-
Taarifa ya Habari 27 Machi 2025
27/03/2025 Duración: 06minMsemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mkuu.
-
Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC"
26/03/2025 Duración: 07minWa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.
-
SBS Learn Eng pod Ep 6 Liking disliking Australian desserts
26/03/2025 Duración: 12minJe, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?
-
Taarifa ya Habari 25 Machi 2025
25/03/2025 Duración: 18minNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi 25.
-
Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?
25/03/2025 Duración: 07minBajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.
-
Taarifa ya Habari 24 Machi 2025
24/03/2025 Duración: 06minSerikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.
-
Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu"
22/03/2025 Duración: 07minWa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 21 Machi 2025
21/03/2025 Duración: 23minOnyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita kiwango cha mafuriko cha mita 5.5 asubui ya Alhamisi 20 Machi.
-
Islamophobia in everyday life - Kunyanyaswa kwa wa Islamu katika maisha ya kila siku
18/03/2025 Duración: 09minAgainst the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and what can be done? - Kufuatia vita vya Israel-Hamas, matukio yawa Islamu kunyanyaswa yame ongezeka nchini Australia, iwe kwa maneno, kimwili au mtandaoni. Athari ya kudumu kwa wa athiriwa ni gani, na nini kinaweza fanywa?
-
Taarifa ya Habari 18 Machi 2025
18/03/2025 Duración: 19minShinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia inafaa pata manowari ya nyuklia.
-
Utofauti wa Lugha za Mataifa ya Kwanza
18/03/2025 Duración: 12minMtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Australia si tofauti, kuwaunga watu na ardhi pamoja na maarifa ya mababu.
-
Taarifa ya Habari 17 Machi 2025
18/03/2025 Duración: 06minWaziri Mkuu na kiongozi wa zamani wa chama cha Liberals Malcolm Turnbull, amesema hadhani Australia inastahili endelea mbele na ushirikiano wa AUKUS, ametoa maoni hayo wakati wasiwasi una ongezeka iwapo mkataba huo uta tekelezwa chini ya muhula wa pili wa uongozi wa Trump.
-
Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika"
14/03/2025 Duración: 12minWakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM).
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2025
14/03/2025 Duración: 18minWauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.
-
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura
14/03/2025 Duración: 06minWith another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura na kutoa maoni yako katika mustakabali wa nchi yetu.
-
Taarifa ya Habari 13 Machi 2025
13/03/2025 Duración: 05minRipoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.
-
Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba"
13/03/2025 Duración: 11minJumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.