Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 106:09:55
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Taarifa ya habari 11 Machi 2025

    11/03/2025 Duración: 17min

    Mamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.

  • Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

    11/03/2025 Duración: 10min

    Akili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.

  • Taarifa ya Habari 10 Machi 2025

    10/03/2025 Duración: 07min

    Taarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.

  • Taarifa ya Habari 7 Machi 2025

    07/03/2025 Duración: 20min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.

  • Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unastahili fanya kujisajili kupiga kura

    07/03/2025 Duración: 08min

    Uchaguzi mwingine wa shirikisho unatarajiwa kufanywa mwaka huu, kuna hatua unastahili chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza.

  • Taarifa ya Habari 6 Machi 2025

    06/03/2025 Duración: 06min

    Ofisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.

  • Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia?

    05/03/2025 Duración: 11min

    Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

  • Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako

    05/03/2025 Duración: 06min

    Je! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?

  • The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

    05/03/2025 Duración: 07min

    Experts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.

  • Taarifa ya Habari 4 Machi 2025

    04/03/2025 Duración: 19min

    Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.

  • Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

    04/03/2025 Duración: 10min

    Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.

  • Taarifa ya Habari 3 Machi 2025

    03/03/2025 Duración: 06min

    Data ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hali iliyo inua hisia za wanunuaji.

  • The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

    28/02/2025 Duración: 10min

    From "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.

  • Taarifa ya Habari 28 Februari 2025

    28/02/2025 Duración: 16min

    Wanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.

  • Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono"

    28/02/2025 Duración: 07min

    Wangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.

  • Taarifa ya Habari 28 Februari 2025

    27/02/2025 Duración: 06min

    Kiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.

  • Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi

    25/02/2025 Duración: 13min

    Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.

  • Taarifa ya Habari 25 Februari 2025

    25/02/2025 Duración: 20min

    Waziri Mkuu amesema serikali ya shirikisho inapitia bajeti "mstari kwa mstari" kupata jinsi yakuwekeza ahadi yake ya Medicare.

  • Anthony Albanese azindua jeki ya kihistoria ya thamani ya $8.5 bilioni ya matibabu bila malipo

    25/02/2025 Duración: 07min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, Jumapili mchana alizindua ahadi yaki historia kwa Medicare, kama lengo la kampeni ya uchaguzi mkuu wa shirikisho wa 2025 wa chama cha Labor.

  • Taarifa ya Habari 24 Februari 2025

    24/02/2025 Duración: 06min

    Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.

página 2 de 26