Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 105:23:28
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

    04/04/2025 Duración: 12min

    Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.

  • Taarifa ya Habari 4 Aprili 2025

    04/04/2025 Duración: 15min

    Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.

  • M23 na serikali ya DRC kufanya mazungumzo ya ana kwa ana

    04/04/2025 Duración: 05min

    Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.

  • Taarifa ya Habari 3 Aprili 2025

    03/04/2025 Duración: 05min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ita toa dola milioni 50, kwa sekta zitakazo athiriwa kwa tangazo jipya la ushuru kutoka Marekani.

  • The legal loophole allowing political lies during elections - Mwanya wa kisheria unao ruhusu uongo wakisiasa wakati wa uchaguzi

    03/04/2025 Duración: 07min

    With an election date set for May 3rd, campaigning has officially begun. But political advertisements have already been circulating for months. Can you trust what they say? - Baada ya tarehe ya uchaguzi kutangazwa kuwa 3 Mei, kampeni zime anza rasmi. Ila matangazo ya kisiasa yame kuwa yaku sambazwa kwa miezi kadhaa. Je, unaweza amani wanavyo sema?

  • Ssaru "Mwanzoni familia hawakutaka tuwe wasanii"

    03/04/2025 Duración: 08min

    Kila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.

  • Swahili Taarifa ya Habari 1 Aprili 2025

    01/04/2025 Duración: 19min

    Waziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.

  • SBS Learn Eng Pod Ep 81 Kuzungumza kuhusu uchaguzi

    01/04/2025 Duración: 14min

    Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu uchaguzi katika Kiingereza?

  • Taarifa ya Habari 31 Machi 2025

    31/03/2025 Duración: 05min

    Wa Islamu nchini Australia na duniani kote, wana sherehekea Eid al-Fitr baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan kumalizika.

  • What’s Australia really like for migrants with disability? - Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu?

    31/03/2025 Duración: 07min

    Disability advocates and experts say cultural stigma and migration laws leave migrants living with disability further excluded and marginalised. - Watetezi wa ulemavu na wataalam, wanasema unyanyapaa wa kitamaduni na sheria za uhamiaji, huwaacha wahamiaji wanao ishi na ulemavu wakiwa wame tengwa zaidi.

  • Uchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025

    28/03/2025 Duración: 06min

    Tarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?

  • Taarifa ya Habari 28 Machi 2025

    28/03/2025 Duración: 18min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.

  • Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC

    28/03/2025 Duración: 06min

    Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.

  • Taarifa ya Habari 27 Machi 2025

    27/03/2025 Duración: 06min

    Msemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mkuu.

  • Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC"

    26/03/2025 Duración: 07min

    Wa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.

  • SBS Learn Eng pod Ep 6 Liking disliking Australian desserts

    26/03/2025 Duración: 12min

    Je, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?

  • Taarifa ya Habari 25 Machi 2025

    25/03/2025 Duración: 18min

    Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika bajeti itakayo tangazwa usiku wa leo Jumanne Machi 25.

  • Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?

    25/03/2025 Duración: 07min

    Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.

  • Taarifa ya Habari 24 Machi 2025

    24/03/2025 Duración: 06min

    Serikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.

  • Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu"

    22/03/2025 Duración: 07min

    Wa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.

página 1 de 26