Sinopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodios
-
Kenya : Rais Ruto na mpinzani Raila Odinga kushirikiana
11/03/2025 Duración: 09minMwishoni mwa juma lililopita rais wa Kenya William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kisiasa, wanaosema utasaidia kutatua changamoto zinazowakabili raia wa taifa hilo. Unaamini makubaliano ya viongozi hawa ni sahihi?Ndilo swali tumekuuliza na haya hapa maoni yako.
-
Hatua ya rais Donald Trump kusitisha msaada wakijeshi kwa nchi ya Ukraine
06/03/2025 Duración: 10min -
Maoni kuhusu vingozi wa kijeshi wa nchi za Afrika Magharibi kutaka kugombea urais
05/03/2025 Duración: 10minNchini Gabon, kiongozi wa kijeshi jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi ya 2023.Hili linajiri wakati huu viongozi wengine wa kijeshi kwenye nchi za Burkina Faso, Mali na Niger wakielekea kuchukua mkondo huo.