Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Wabunge wa chama tawala wa Zimbabwe wapanga kufanya marekebisho ya katiba ili kuruhusu muhula wa tatu wa Rais. - Januari 31, 2025
31/01/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Zaidi ya mamluki 280 kutoka nchi za Ulaya washikwa mateka na M23 na kupelekwa Rwanda - Januari 30, 2025
30/01/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Maelfu ya wakazi wa Niger, Mali na Burkina Faso waunga mkono uamuzi wa nchi zao kujiondoa kwenye ECOWAS. - Januari 29, 2025
29/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mali yachukua tani tatu za dhahabu kutoka kwa kampuni ya Barrick Gold ikiwa sehemu ya mzozo wa kifedha kati yao. - Januari 28, 2025
28/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Idadi ya vifo kutokana na mioto ya California yapita 20. - Januari 27, 2025
27/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Trump alitaja kundi la Wahouthi wa Yemen kuwa kundi la kigaidi la kigeni - Januari 23, 2025
23/01/2025 Duración: 29min -
Ujumbe wa Wamarekani ziarani nchini Rwanda kutafuta fursa za uwekezaji - Januari 22, 2025
22/01/2025 Duración: 29min -
Trump ahotubia maelfu ya wafuasi wake Jumapili siku moja kabla ya kuapishwa kuwa Rais - Januari 20, 2025
20/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Museveni aamuru polisi na majaji kutowapa dhamana wahalifu waliyokamatwa. - Januari 17, 2025
17/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Wakati Tanzania ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu, je hali ya kisiasa ikoje? - Januari 16, 2025
16/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Chama tawala cha Comoros cha shinda kwenye uchaguzi wa bunge. - Januari 15, 2025
15/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Utawala mpya wa Marekani wa Donald Trump waahidi kurejesha mamilioni ya wahamiaji haramu makwao. Je hilo litawezekana> - Januari 14, 2025
14/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Ni yapi yalioyojiri kwenye jukwaa la spoti? Tunawatakia mwaka mpya wenye mafanikio. - Januari 13, 2025
13/01/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.