Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Australia kutambua utaifa wa Palestina
14/08/2025 Duración: 09minAustralia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.
-
Taarifa ya Habari 5 Agosti 2025
05/08/2025 Duración: 12minWaziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.
-
Tamasha ya Garma yawavutia wageni kutoka Australia na kwingineko
05/08/2025 Duración: 12minSherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.
-
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki
05/08/2025 Duración: 19minJe, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
-
Taarifa ya Habari 4 Agosti 2025
04/08/2025 Duración: 05minSerikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kutembea katika Daraja maarufu la bandari ya Sydney, jana Agosti 3, katika maandamano dhidi ya vita vinavyo endelea Gaza.
-
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka
04/08/2025 Duración: 05minWapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.
-
Mvutano wakibiashara waibuka kati ya Tanzania na Kenya
01/08/2025 Duración: 07minKenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2025
01/08/2025 Duración: 15minWaziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.
-
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako
01/08/2025 Duración: 15minJe, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
-
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia
01/08/2025 Duración: 14minBiashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.
-
Taarifa ya Habari 31 Julai 2025
01/08/2025 Duración: 05minWanafunzi milioni tatu nchini Australia wata punguziwa deni zao za elimu, hii ni baada ya muswada wa Labor ulio tazamiwa sana kupitishwa bungeni hii leo.
-
Taarifa ya Habari 29 Julai 2025
29/07/2025 Duración: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema anaendeleza juhudi zakupunguza shinikizo za gharama ya maisha, akimulika mpango wakupunguza bei za madawa.
-
Je ni bora kuhudumia mtu mwenye ugonjwa wakusahau nyumbani au la?
29/07/2025 Duración: 10minKuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
-
Muthoni "kuna vitu unaweza fanya kupunguza kasi ya ugonjwa wa dementia"
25/07/2025 Duración: 14minKuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
-
Taarifa ya Habari 25 Julai 2025
25/07/2025 Duración: 15minAustralia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.
-
Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele
25/07/2025 Duración: 16minElimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.
-
Taarifa ya Habari 24 Julai 2025
24/07/2025 Duración: 06minAustralia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.
-
Dr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji"
23/07/2025 Duración: 12minWanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.
-
SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu
22/07/2025 Duración: 14minJe, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?
-
Taarifa ya Habari 22 Julai 2025
22/07/2025 Duración: 14minWaziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.